TEHRAN (IQNA)- Kufuatia tahadhari kutoka kwa serikali ya Ghana kuhusu uwezekano wa kutokea mashambulizi ya kigaidi, ulinzi umeimarishwa misikitini kwa amri ya kiongozi wa Kiislamu wa nchi hiyo, Mallam Othman Nuhu Sharubutu.
Habari ID: 3475300 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/26